Psalms 44:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umewauza watu wako kwa bei ya chini; wala hukupata faida yoyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umewauza watu wako kwa fedha kidogo, wala hukupata faida yoyote kwa mauzo yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wawauza watu wako bila kupata mali, Wala hukupata faida kwa thamani yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umewauza watu wako kwa bei ya chini; wala hukupata faida yoyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umewauza watu wako kwa fedha kidogo, wala hukupata faida yo yote kwa mauzo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umewauza watu wako kwa fedha kidogo, wala hukupata faida yoyote kwa mauzo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wawauza watu wako bila kupata mali, Wala hukupata faida kwa thamani yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umewauza watu wako kwa bei ya chini; wala hukupata faida yoyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio ukoo wako umewauza kwa mali zisizo mali, lakini kwa hayo malipo yao hakuna ulichokipata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wawauza watu wako bila kupata mali, Wala hukupata faida kwa thamani yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umetufanya kama kondoo wanaopelekwa kuchinjwa; umetutawanya kati ya mataifa.