Psalms 44:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umetufanya kuwa kioja kwa jirani zetu, nao wanatudhihaki na kutucheka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umetufanya lawama kwa majirani zetu, dharau na dhihaka kwa wale wanaotuzunguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umetufanya kuwa lawama kwa jirani zetu, Mzaha na dhihaka kwao wanaotuzunguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umetufanya kuwa kioja kwa jirani zetu, nao wanatudhihaki na kutucheka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umetufanya lawama kwa jirani zetu, dharau na dhihaka kwa wale wanaotuzunguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umetufanya lawama kwa jirani zetu, dharau na dhihaka kwa wale wanaotuzunguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umetufanya kuwa lawama kwa jirani zetu, Mzaha na dhihaka kwao wanaotuzunguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umetufanya kuwa kioja kwa jirani zetu, nao wanatudhihaki na kutucheka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukatutia soni kwao, tuliokaa nao, tukafyozwa na kusimangwa nao waliotuzunguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umetufanya kuwa lawama kwa jirani zetu, Mzaha na dhihaka kwao wanaotuzunguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umeuzisha watu wako kwa bei ya chini; wala haukupata faida yoyote.