Psalms 44:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umetufanya tudharauliwe na watu wa mataifa; wanatutikisia vichwa vyao kwa kutupuuza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umetufanya kuwa mithali miongoni mwa mataifa; mataifa hututikisia vichwa vyao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umetufanya kuwa mithali kwa mataifa, Sababu ya kutikisa kichwa kwa watu wa nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umetufanya tudharauliwe na watu wa mataifa; wanatutikisia vichwa vyao kwa kutupuuza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umetufanya kuwa mithali miongoni mwa mataifa, mataifa hutikisa vichwa vyao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umetufanya kuwa mithali miongoni mwa mataifa, mataifa hutikisa vichwa vyao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umetufanya kuwa mithali kwa mataifa, Sababu ya kutikisa kichwa kwa watu wa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umetufanya tudharauliwe na watu wa mataifa; wanatutikisia vichwa vyao kwa kutupuuza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukatuweka kuwa kama fumbo kwa wamizimu, makabila ya watu hututingishia vichwa vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umetufanya kuwa mithali kwa mataifa, Sababu ya kutikisa kichwa kwa watu wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umetupotezea heshima mbele ya jirani zetu, nao wanatuchekelea na kutuzarau.