Psalms 44:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchana kutwa fedheha yaniandama, na uso wangu umejaa aibu tele
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fedheha yangu iko mbele yangu mchana kutwa, na uso wangu umejaa aibu tele,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mchana kutwa fedheha yangu i mbele yangu, Na haya ya uso wangu imenifunika,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchana kutwa fedheha yaniandama, na uso wangu umejaa aibu tele
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fedheha yangu iko mbele yangu mchana kutwa, na uso wangu umejaa aibu tele,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fedheha yangu iko mbele yangu mchana kutwa, na uso wangu umejaa aibu tele,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mchana kutwa fedheha yangu i mbele yangu, Na aibu imeufunika uso wangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchana kutwa fedheha yaniandama, na uso wangu umejaa aibu tele
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zote hayo mabezo yapo machoni pangu; naufunika uso wangu kwa kuona soni
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mchana kutwa fedheha yangu i mbele yangu, Na haya ya uso wangu imenifunika,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umetufanya tuzarauliwe na watu wa mataifa; wanatutikisia vichwa vyao kwa kutusimanga.