Psalms 44:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa maneno na madharau ya wenye kunitukana, kwa kukabiliwa na maadui zangu na walipiza kisasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa ajili ya dhihaka ya wale wanaonilaumu na kunitukana, kwa sababu ya adui, ambaye anatamani kulipiza kisasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sauti ya mwenye kulaumu na kukufuru, Kwa sababu ya adui na mjilipiza kisasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa maneno na madharau ya wenye kunitukana, kwa kukabiliwa na maadui zangu na walipiza kisasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa ajili ya dhihaka ya wale wanaonilaumu na kunitukana, kwa sababu ya adui, ambaye anatamani kulipiza kisasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa ajili ya dhihaka ya wale wanaonilaumu na kunitukana, kwa sababu ya adui, ambaye anatamani kulipiza kisasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sauti ya mwenye kulaumu na kukufuru, Kwa sababu ya adui na mjilipiza kisasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa maneno na madharau ya wenye kunitukana, kwa kukabiliwa na maadui zangu na walipiza kisasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nikizisikia sauti zao wanifyozao pamoja na kunitukana, nikimwona adui anitakaye, apate kujilipiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sauti ya mwenye kulaumu na kukufuru, Kwa sababu ya adui na mjilipiza kisasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchana kutwa nimefezeheka, na uso wangu umejaa haya tele