Psalms 44:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayo yote yametupata sisi ijapokuwa hatujakusahau, wala hatujavunja agano lako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hayo yote yametutokea, ingawa tulikuwa hatujakusahau wala hatujaenda kinyume na agano lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya yote yametupata, bali hatukukusahau, Wala hatukulihalifu agano lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayo yote yametupata sisi ijapokuwa hatujakusahau, wala hatujavunja agano lako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hayo yote yametutokea, ingawa tulikuwa hatujakusahau wala hatujaenda kinyume na Agano lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hayo yote yametutokea, ingawa tulikuwa hatujakusahau wala hatujaenda kinyume na agano lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya yote yametupata, bali hatukukusahau, Wala hatukulivunja agano lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayo yote yametupata sisi ijapokuwa hatujakusahau, wala hatujavunja agano lako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya yote yametupata, lakini hatukukusahau, wala hatukulivunja Agano lako,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya yote yametupata, bali hatukukusahau, Wala hatukulihalifu agano lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa ajili ya maneno na mazarau ya wenye kunitukana, kwa ajili ya waadui zangu wenye kunilipiza kisasi.