Psalms 44:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatujakuasi wewe, wala hatujaziacha njia zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mioyo yetu ilikuwa haijarudi nyuma; nyayo zetu zilikuwa hazijaiacha njia yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hatukuiacha mioyo yetu irudi nyuma, Wala hatua zetu hazikuiacha njia yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatujakuasi wewe, wala hatujaziacha njia zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mioyo yetu ilikuwa haijarudi nyuma; lakini nyayo zetu zilikuwa hazijaiacha njia yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mioyo yetu ilikuwa haijarudi nyuma; nyayo zetu zilikuwa hazijaiacha njia yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hatukuiacha mioyo yetu irudi nyuma, Wala hatua zetu hazikuiacha njia yako,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatujakuasi wewe, wala hatujaziacha njia zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala mioyo yetu haikurudi nyuma, wala miguu haikuondoka katika njia yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hatukuiacha mioyo yetu irudi nyuma, Wala hatua zetu hazikuiacha njia yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hayo yote yametupata sisi ijapokuwa hatujakusahau, wala hatujavunja agano lako.