Psalms 44:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo umetuacha hoi kati ya wanyama wakali; umetuacha katika giza kuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ulituponda na kutufanya makao ya mbweha, na ukatufunika kwa giza nene.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata utuponde katika kao la mbwa-mwitu, Na kutufunika kwa uvuli wa mauti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo umetuacha hoi kati ya wanyama wakali; umetuacha katika giza kuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ulituponda na kutufanya makao ya mbweha na ukatufunika kwa giza nene.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ulituponda na kutufanya makao ya mbweha, na ukatufunika kwa giza nene.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Japo ulituponda katika pango la mbwamwitu, Na kutufunika kwa uvuli wa mauti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo umetuacha hoi kati ya wanyama wakali; umetuacha katika giza kuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nako, mbwa wa mwitu wanakokaa, ukatuponda, ukatufunika na giza kama la kufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata utuponde katika kao la mbwa-mwitu, Na kutufunika kwa uvuli wa mauti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatujakuasi wewe, wala hatujaiacha njia yako.