Psalms 44:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa mkono wako mwenyewe uliyafukuza mataifa mengine, na mahali pao ukawakalisha watu wako; uliyaadhibu mataifa mengine, na kuwafanikisha watu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa mkono wako uliwafukuza mataifa na ukawapanda baba zetu, uliangamiza mataifa na kuwastawisha baba zetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe kwa mkono wako uliwafukuza mataifa, Ukawakalisha wao. Wewe uliwatesa watu wa nchi, Ukawaeneza wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa mkono wako mwenyewe uliyafukuza mataifa mengine, na mahali pao ukawakalisha watu wako; uliyaadhibu mataifa mengine, na kuwafanikisha watu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa mkono wako uliwafukuza mataifa katika nchi hii na ukawapanda baba zetu, uliangamiza mataifa na kuwastawisha baba zetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa mkono wako uliwafukuza mataifa na ukawapanda baba zetu, uliangamiza mataifa na kuwastawisha baba zetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe kwa mkono wako uliwafukuza mataifa, Ukawakalisha wao. Wewe uliwatesa watu wa nchi, Ukawafanikisha wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa mkono wako mwenyewe uliyafukuza mataifa mengine, na mahali pao ukawakalisha watu wako; uliyaadhibu mataifa mengine, na kuwafanikisha watu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe kwa mkono wako uliwafukuza wamizimu, ukawaweka pao, ukaangamiza makabila ya watu, upate pa kuwaenezea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe kwa mkono wako uliwafukuza mataifa, Ukawakalisha wao. Wewe uliwatesa watu wa nchi, Ukawaeneza wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, sisi tumesikia kwa masikio yetu, babu zetu wametuelezea mambo uliyotenda nyakati zao, ndiyo mambo uliyotenda hapo kale.