Psalms 44:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tungalikuwa tumekusahau wewe Mungu wetu, tukamkimbilia mungu wa uongo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama tungekuwa tumelisahau jina la Mungu wetu au kunyooshea mikono yetu kwa mungu mgeni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa tumelisahau jina la Mungu wetu, Au kumnyoshea mungu mgeni mikono yetu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tungalikuwa tumekusahau wewe Mungu wetu, tukamkimbilia mungu wa uongo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama tungalikuwa tumelisahau jina la Mungu wetu au kunyoshea mikono yetu kwa mungu mgeni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama tungalikuwa tumelisahau jina la Mungu wetu au kunyooshea mikono yetu kwa mungu mgeni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa tumelisahau jina la Mungu wetu, Au kumnyoshea mungu mgeni mikono yetu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tungalikuwa tumekusahau wewe Mungu wetu, tukamkimbilia mungu wa uongo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama tungekuwa tumelisahau Jina la Mungu, au kama tungekuwa tumemwinulia mungu mgeni mikono yetu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa tumelisahau jina la Mungu wetu, Au kumnyoshea mungu mgeni mikono yetu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo umetupondaponda kati ya nyama wakali; umetuacha katika giza nzito sana.