Psalms 44:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ee Mungu, ungalikwisha jua jambo hilo, kwa maana wewe wazijua siri za moyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
je, si Mungu angegundua hili, kwa kuwa anazijua siri za moyo?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mungu hatalichunguza neno hilo? Maana ndiye azijuaye siri za moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ee Mungu, ungalikwisha jua jambo hilo, kwa maana wewe wazijua siri za moyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
je, Mungu hangaligundua hili, kwa kuwa anazijua siri za moyo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
je, Mungu hangaligundua hili, kwa kuwa anazijua siri za moyo?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mungu hangegundua jambo hilo? Maana ndiye azijuaye siri za moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ee Mungu, ungalikwisha jua jambo hilo, kwa maana wewe wazijua siri za moyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu asingeyaumbua mambo hayo? Kwani yeye huyajua nayo mawazo yajifichayo moyoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mungu hatalichunguza neno hilo? Maana ndiye azijuaye siri za moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tungalikuwa tumekusahau wewe Mungu wetu, na kumukimbilia mungu wa uongo,