Psalms 44:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kwa ajili yako twakikabili kifo kila siku; tunatendewa kama kondoo wanaopelekwa kuchinjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa; tumehesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hasha! Kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa; Tunafanywa kondoo waendao kuchinjwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kwa ajili yako twakikabili kifo kila siku; tunatendewa kama kondoo wanaopelekwa kuchinjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo kwa ajili yako tunakabiliwa na kifo mchana kutwa; tunahesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa; tumehesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hasha! Kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa; Tunafanywa kama kondoo waendao kuchinjwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kwa ajili yako twakikabili kifo kila siku; tunatendewa kama kondoo wanaopelekwa kuchinjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe ni kwa ajili yako wewe, tukiuawa kila siku, tukihesabiwa kuwa kama kondoo wa kuchinjwa tu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hasha! Kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa; Tunafanywa kondoo waendao kuchinjwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ee Mungu, ungalikwisha jua jambo hilo, kwa maana wewe unajua siri za moyo.