Psalms 44:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amka, ee Bwana! Mbona umelala? Inuka! Tafadhali usitutupe milele!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amka, Ee Bwana! Kwa nini unalala? Zinduka! Usitukatae milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amka, Bwana, mbona umelala? Ondoka, usitutupe kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amka, ee Bwana! Mbona umelala? Inuka! Tafadhali usitutupe milele!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amka, Ee BWANA! Kwa nini unalala? Zinduka! Usitukatae milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amka, Ee bwana! Kwa nini unalala? Zinduka! Usitukatae milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amka, Bwana, mbona umelala? Ondoka, usitutupe milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amka, ee Bwana! Mbona umelala? Inuka! Tafadhali usitutupe milele!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amka! Sababu gani umelala usingizi, Bwana wangu? Inuka! Usinitupe kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amka, Bwana, mbona umelala? Ondoka, usitutupe kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kwa ajili yako tunauawa kila siku; tunatendewa kama kondoo wa kuchinjwa.