Psalms 44:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumedidimia hata mavumbini, tumegandamana na ardhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumeshushwa hadi mavumbini, miili yetu imegandamana na ardhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nafsi yetu imeinama mavumbini, Tumbo letu limegandamana na nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumedidimia hata mavumbini, tumegandamana na ardhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumeshushwa hadi mavumbini, miili yetu imegandamana na ardhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumeshushwa hadi mavumbini, miili yetu imegandamana na ardhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana nafsi zetu zimeinama mavumbini, Tumbo letu limegandamana na nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tumedidimia hata mavumbini, tumegandamana na ardhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli roho zetu zimeinamishwa kulala uvumbini, nayo miili yetu imegandamiana na mchanga wa chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nafsi yetu imeinama mavumbini, Tumbo letu limegandamana na nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona unajificha mbali nasi, na kusahau taabu na mateso yetu?