Psalms 44:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu! Wawajalia ushindi wazawa wa Yakobo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu, unayeamuru ushindi kwa Yakobo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, Wewe ndiwe mfalme wangu, Uagize mambo ya wokovu kwa Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu! Wawajalia ushindi wazawa wa Yakobo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu, unayeamuru ushindi kwa Yakobo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu, unayeamuru ushindi kwa Yakobo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, Wewe ndiwe mfalme wangu, Uagize mambo ya wokovu kwa Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu! Wawajalia ushindi wazawa wa Yakobo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe, Mungu, ndiwe uliye mfalme wangu; uagize wokovu, umjie Yakobo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, Wewe ndiwe mfalme wangu, Uagize mambo ya wokovu kwa Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wako hawakuitwaa inchi kwa silaha zao, wala hawakupata ushindi kwa nguvu zao, lakini kwa mukono wako mwenyewe, kwa kuwaangazia uso wako, maana wewe uliwapenda.