Psalms 44:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nguvu yako twawashinda maadui zetu, kwa jina lako twawakanyaga wanaotushambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa uwezo wako tunawasukuma nyuma watesi wetu; kwa jina lako tunawakanyaga adui zetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa nguvu zako tutawaangusha watesi wetu; Kwa jina lako tutawakanyaga watupingao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nguvu yako twawashinda maadui zetu, kwa jina lako twawakanyaga wanaotushambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa uwezo wako tunawasukuma nyuma watesi wetu; kwa jina lako tunawakanyaga adui zetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa uwezo wako tunawasukuma nyuma watesi wetu; kwa jina lako tunawakanyaga adui zetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa nguvu zako tutawaangusha watesi wetu; Kwa jina lako tutawakanyaga watupingao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nguvu yako twawashinda maadui zetu, kwa jina lako twawakanyaga wanaotushambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa nguvu zako tutawakumba watusongao, waanguke; kwa nguvu za Jina lako tutawapiga mateke watuinukiao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa nguvu zako tutawaangusha watesi wetu; Kwa jina lako tutawakanyaga watupingao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ni mufalme wangu na Mungu wangu! Unawajalia ushindi wazao wa Yakobo.