Psalms 44:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi siutegemei upinde wangu, wala upanga wangu hauwezi kuniokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siutumaini upinde wangu, upanga wangu hauniletei ushindi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana sitautumainia upinde wangu, Wala upanga wangu hautaniokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi siutegemei upinde wangu, wala upanga wangu hauwezi kuniokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siutumaini upinde wangu, upanga wangu hauniletei ushindi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siutumaini upinde wangu, upanga wangu hauniletei ushindi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana sitautumainia upinde wangu, Wala upanga wangu hauwezi kuniokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi siutegemei upinde wangu, wala upanga wangu hauwezi kuniokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani siutegemei upindi wangu, kweli sio, ninaoujetea, wala upanga wangu sio uniokoao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana sitautumainia upinde wangu, Wala upanga wangu hautaniokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nguvu yako tunawashinda waadui zetu, kwa jina lako tunawakanyaga wanaotushambulia.