Psalms 44:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ndiwe uliyetuokoa na maadui zetu; uliwavuruga wale waliotuchukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
bali wewe unatupatia ushindi juu ya adui zetu, unawaaibisha watesi wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali Wewe ndiwe uliyetuokoa na watesi wetu; Na watuchukiao umewaaibisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ndiwe uliyetuokoa na maadui zetu; uliwavuruga wale waliotuchukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
bali wewe unatupa ushindi juu ya adui zetu, unawaaibisha watesi wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bali wewe unatupa ushindi juu ya adui zetu, unawaaibisha watesi wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali Wewe ndiwe uliyetuokoa kutoka kwa watesi wetu; Na watuchukiao umewaaibisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ndiwe uliyetuokoa na maadui zetu; uliwavuruga wale waliotuchukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe ulituokoa mikononi mwao watusongao, nao watuchukiao uliwatia soni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali Wewe ndiwe uliyetuokoa na watesi wetu; Na watuchukiao umewaaibisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi sitegemei upinde wangu, wala upanga wangu hauwezi kuniokoa.