Psalms 44:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sasa umetuacha na kutufedhehesha; huandamani tena na majeshi yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sasa umetukataa na kutudhili, wala huendi tena na jeshi letu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini umetutupa, umetufedhehesha, Wala hutoki na majeshi yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sasa umetuacha na kutufedhehesha; huandamani tena na majeshi yetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sasa umetukataa na kutudhili, wala huendi tena na jeshi letu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sasa umetukataa na kutudhili, wala huendi tena na jeshi letu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini umetutupa, umetufedhehesha, Wala huendi na majeshi yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sasa umetuacha na kutufedhehesha; huandamani tena na majeshi yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na sasa umetutupa na kututia soni, maana hukutoka pamoja navyo vikosi vyetu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini umetutupa, umetufedhehesha, Wala hutoki na majeshi yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku zote tunakutukuza, ee Mungu; tutakutolea shukrani kwa milele.