Psalms 45:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikiliza binti, ufikirie! Tega sikio lako: Sahau sasa watu wako na jamaa zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikiliza, ewe binti, fikiri na utege sikio: Sahau watu wako na nyumba ya baba yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikia, binti, utazame, utege sikio lako, Uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikiliza binti, ufikirie! Tega sikio lako: sahau sasa watu wako na jamaa zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikiliza, ewe binti, fikiri na utege sikio: Sahau watu wako na wa nyumbani mwa baba yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikiliza, ewe binti, fikiri na utege sikio: Sahau watu wako na nyumba ya baba yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikia, binti, utazame, utege sikio lako, Uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikiliza binti, ufikirie! Tega sikio lako: Sahau sasa watu wako na jamaa zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikia mwanangu, uviangalie! Niinamishie sikio lako! Sharti uusahau ukoo wako na nyumba ya baba yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikia, binti, utazame, utege sikio lako, Uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wabinti za wafalme ni kati ya wanaokupokea, naye malkia amesimama kwa kuume kwako, amevaa mapambo ya zahabu safi kabisa ya Ofiri.