Psalms 45:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uzuri wako wamvutia mfalme; yeye ni bwana wako, lazima umtii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme ameshangazwa na uzuri wako; mheshimu, kwa kuwa yeye ni bwana wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mfalme atautamani uzuri wako, Maana ndiye bwana wako, nawe umsujudie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uzuri wako wamvutia mfalme; yeye ni bwana wako, lazima umtii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme ameshangazwa na uzuri wako; mheshimu, kwa kuwa yeye ni bwana wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme ameshangazwa na uzuri wako; mheshimu, kwa kuwa yeye ni bwana wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mfalme atautamani uzuri wako, Maana ndiye bwana wako, nawe umsujudie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uzuri wako wamvutia mfalme; yeye ni bwana wako, lazima umtii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakapokuwa, mfalme akutake kwa uzuri wako, basi, kwa kuwa yeye ni bwana wako, sharti umwangukie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mfalme atautamani uzuri wako, Maana ndiye bwana wako, nawe umsujudie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikiliza binti, ufikiri! Tega sikio lako: sahau sasa taifa lako na jamaa yako.