Psalms 45:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Tiro watakuletea zawadi; matajiri watataka upendeleo wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Binti Tiro atakuletea zawadi, watu wenye utajiri watatafuta upendeleo wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na binti Tiro analeta kipawa chake, Nao matajiri wa watu watajipendekeza kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Tiro watakuletea zawadi; matajiri watataka upendeleo wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Binti wa Tiro atakuletea zawadi, watu wenye utajiri watatafuta upendeleo wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Binti wa Tiro atakuletea zawadi, watu wenye utajiri watatafuta upendeleo wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wa Tiro wanakushawishi kwa zawadi, Nao matajiri wa watu watajipendekeza kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Tiro watakuletea zawadi; matajiri watataka upendeleo wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanawake wa Tiro watakutokea usoni, wakupe matunzo, nao wenye mali wa ukoo huu watajipendekeza kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na binti Tiro analeta kipawa chake, Nao matajiri wa watu watajipendekeza kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uzuri wako unavuta moyo wa mufalme; yeye ni bwana yako, lazima umutii.