Psalms 45:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binti mfalme anaingia mzuri kabisa! Vazi lake limefumwa kwa nyuzi za dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ufahari wote una binti mfalme katika chumba chake; vazi lake limefumwa kwa nyuzi za dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Binti mfalme yumo ndani ana fahari tupu, Mavazi yake ni ya nyuzi za dhahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binti mfalme anaingia mzuri kabisa! Vazi lake limefumwa kwa nyuzi za dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utukufu wote ni binti mfalme katika chumba chake; vazi lake limefumwa kwa kuchanganya nyuzi za dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utukufu wote una binti mfalme katika chumba chake; vazi lake limefumwa kwa nyuzi za dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Binti mfalme yumo ndani ana fahari tupu, Mavazi yake ni ya nyuzi za dhahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binti mfalme anaingia mzuri kabisa! Vazi lake limefumwa kwa nyuzi za dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwana wa kike wa mfalme yumo nyumbani mlimo na utukufu, nyuzi za dhahabu tu ndizo zilizoyafuma mavazi yake;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Binti mfalme yumo ndani ana fahari tupu, Mavazi yake ni ya nyuzi za dhahabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Tiro watakuletea zawadi; watajiri watajipendekeza kwako.