Psalms 45:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akiwa amevalia vazi la rangi nyingi, anaongozwa kwa mfalme, akisindikizwa na wasichana wenzake; nao pia wanapelekwa kwa mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anaongozwa kwa mfalme, akiwa amevalia mavazi yaliyotariziwa, mabikira wenzake wanamfuata na wanaletwa kwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atapelekwa kwa mfalme Na mavazi yaliyofumwa kwa uzuri. Wanawali wenzake wanaomfuata, Watapelekwa kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akiwa amevalia vazi la rangi nyingi, anaongozwa kwa mfalme, akisindikizwa na wasichana wenzake; nao pia wanapelekwa kwa mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akiwa amevalia mavazi yaliyotariziwa anaongozwa kwa mfalme, mabikira wenzake wanamfuata na wanaletwa kwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anaongozwa kwa mfalme, akiwa amevalia mavazi yaliyotariziwa, mabikira wenzake wanamfuata na wanaletwa kwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Anapelekwa kwa mfalme Na mavazi yaliyofumwa kwa uzuri. Wanawali wenzake wanaomfuata, Pia watapelekwa kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akiwa amevalia vazi la rangi nyingi, anaongozwa kwa mfalme, akisindikizwa na wasichana wenzake; nao pia wanapelekwa kwa mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akivaa nguo za rangi nzuri anapelekwa kwa mfalme, nao watoto wa kike wenzake wamfuatao nyuma wanapelekwa kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atapelekwa kwa mfalme Na mavazi yaliyofumwa kwa uzuri. Wanawali wenzake wanaomfuata, Watapelekwa kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Binti wa mufalme anaingia, naye ni muzuri kabisa! Nguo yake imefumwa na nyuzi za zahabu.