Psalms 45:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa furaha na shangwe wanafika huko, na kuingia katika jumba la mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaingizwa ndani kwa shangwe na furaha, na kuingia katika jumba la mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watapelekwa kwa furaha na shangwe, Na kuingia katika nyumba ya mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa furaha na shangwe wanafika huko, na kuingia katika jumba la mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaingizwa ndani kwa shangwe na furaha, na kuingia katika jumba la mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaingizwa ndani kwa shangwe na furaha, na kuingia katika jumba la mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watapelekwa kwa furaha na shangwe, Na kuingia katika nyumba ya mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa furaha na shangwe wanafika huko, na kuingia katika jumba la mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katikati ya wapiga shangwe na vigelegele watasindikizwa, waje jumbani mwa mfalme kuwa humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watapelekwa kwa furaha na shangwe, Na kuingia katika nyumba ya mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akiwa amevaa nguo za rangi nyingi, anaongozwa kwa mufalme, akisindikizwa na wabinti wenzake.