Psalms 45:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee mfalme, utapata watoto wengi watakaotawala mahali pa wazee wako; utawafanya watawale duniani kote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wenu watachukua nafasi za baba zenu, mtawafanya wakuu katika nchi yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Badala ya baba zako watakuwapo watoto wako, Utawafanya kuwa wakuu katika nchi zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee mfalme, utapata watoto wengi watakaotawala mahali pa wazee wako; utawafanya watawale duniani kote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wenu watachukua nafasi za baba zenu, mtawafanya wana wa kifalme katika nchi yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wenu watachukua nafasi za baba zenu, mtawafanya wakuu katika nchi yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Badala ya baba zako watakuwapo watoto wako, Utawafanya kuwa wakuu katika nchi zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee mfalme, utapata watoto wengi watakaotawala mahali pa wazee wako; utawafanya watawale duniani kote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo, baba zako walipokuwa, watakuwapo wana wako wa kiume, utawaweka kuwa wakuu katika nchi zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Badala ya baba zako watakuwapo watoto wako, Utawafanya kuwa wakuu katika nchi zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa furaha na shangwe wanafika huko, na kuingia katika nyumba ya mufalme.