Psalms 45:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jifunge upanga wako, ewe shujaa! Wewe ni mtukufu na mwenye fahari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jifunge upanga wako pajani mwako, ee mwenye nguvu, jivike fahari na utukufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jifungie upanga wako pajani, wewe uliye hodari, Utukufu ni wako na fahari ni yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jifunge upanga wako, ewe shujaa! Wewe ni mtukufu na mwenye fahari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jifunge upanga wako pajani mwako, Ee mwenye nguvu, jivike fahari na utukufu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jifunge upanga wako pajani mwako, ee mwenye nguvu, jivike fahari na utukufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jifungie upanga wako pajani, wewe uliye hodari, Utukufu ni wako na fahari ni yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jifunge upanga wako, ewe shujaa! Wewe ni mtukufu na mwenye fahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Funga upanga wako kiunoni, wewe mshindaji! Maana ndio pambo lako na urembo wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jifungie upanga wako pajani, wewe uliye hodari, Utukufu ni wako na fahari ni yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ni muzuri kuliko wanadamu wote, maneno yako ni rehema tupu, Mungu amekubariki milele.