Psalms 45:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Songa mbele kwa utukufu upate ushindi, utetee ukweli na kulinda haki. Mkono wako utende mambo makuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika fahari yako, songa mbele kwa ushindi, kwa ajili ya kweli, unyenyekevu na haki, mkono wako wa kuume na uoneshe matendo ya kutisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika fahari yako usitawi uendelee Kwa ajili ya kweli na upole na haki Na mkono wako wa kuume Utakufundisha mambo ya kutisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Songa mbele kwa utukufu upate ushindi, utetee ukweli na kulinda haki. Mkono wako utende mambo makuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika fahari yako songa mbele kwa ushindi, kwa ajili ya kweli, unyenyekevu na haki, mkono wako wa kuume na uonyeshe matendo ya kutisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika fahari yako, songa mbele kwa ushindi, kwa ajili ya kweli, unyenyekevu na haki, mkono wako wa kuume na uonyeshe matendo ya kutisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika fahari yako usitawi uendelee Kwa ajili ya kweli, upole na haki Na mkono wako wa kulia Utakutendea mambo ya ajabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Songa mbele kwa utukufu upate ushindi, utetee ukweli na kulinda haki. Mkono wako utende mambo makuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hilo pambo lako na likupe kumaliza kazi! Gombea tu mambo ya kweli na ya upole nayo ya wongofu! Ndivyo, kuume kwako kutakavyokufundisha matendo yatishayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika fahari yako usitawi uendelee Kwa ajili ya kweli na upole na haki Na mkono wako wa kuume Utakufundisha mambo ya kutisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujifungie upanga wako, ewe shujaa! Wewe ni mutukufu na mwenye mamlaka.