Psalms 45:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mishale yako ni mikali, hupenya mioyo ya maadui za mfalme; nayo mataifa huanguka chini yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mishale yako mikali na ichome mioyo ya adui za mfalme, mataifa na yaanguke chini ya nyayo zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mishale yako ni mikali, watu huanguka chini yako; Imo mioyoni mwa adui za mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mishale yako ni mikali, hupenya mioyo ya maadui za mfalme; nayo mataifa huanguka chini yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mishale yako mikali na ichome mioyo ya adui za mfalme, mataifa na yaanguke chini ya nyayo zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mishale yako mikali na ichome mioyo ya adui za mfalme, mataifa na yaanguke chini ya nyayo zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mishale yako ni mikali, katika mioyo ya adui za mfalme; Watu huanguka chini yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mishale yako ni mikali, hupenya mioyo ya maadui za mfalme; nayo mataifa huanguka chini yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mishale yako nayo ni mikali; kwa hiyo makabila ya watu yatakuangukia chini, kwani huichoma mioyo yao adui za mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mishale yako ni mikali, watu huanguka chini yako; Imo mioyoni mwa adui za mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Songa mbele kwa utukufu upate ushindi, utetee ukweli na kulinda haki. Mukono wako utende mambo makubwa.