Psalms 45:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiti chako cha enzi ni imara, chadumu milele kama cha Mungu. Wewe watawala watu wako kwa haki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, kiti chako cha enzi kitadumu milele na milele, fimbo ya utawala wa haki itakuwa fimbo ya utawala wa ufalme wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele, Fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiti chako cha enzi ni imara, chadumu milele kama cha Mungu. Wewe watawala watu wako kwa haki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, kiti chako cha enzi kitadumu milele na milele, fimbo ya utawala wa haki itakuwa fimbo ya utawala wa ufalme wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, kiti chako cha enzi kitadumu milele na milele, fimbo ya utawala wa haki itakuwa fimbo ya utawala wa ufalme wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele, Fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiti chako cha enzi ni imara, chadumu milele kama cha Mungu. Wewe watawala watu wako kwa haki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, kiti chako cha kifalme kiko kale na kale pasipo mwisho, nayo fimbo ya ufalme wako ndiyo fimbo inyoshayo mambo ya watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele, Fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mishale yako ni mikali, inapenya mioyo ya waadui za mufalme; nayo mataifa yanaanguka chini yako.