Psalms 45:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wapenda uadilifu na kuchukia uovu. Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuteua, na kukupa furaha kuliko wenzako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unaipenda haki na kuchukia uovu; kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuweka juu ya wenzako, kwa kukupaka mafuta ya furaha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeipenda haki; Umeichukia dhuluma. Kwa hiyo MUNGU, Mungu wako, amekupaka mafuta, Mafuta ya furaha kuliko wenzako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wapenda uadilifu na kuchukia uovu. Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuteua, na kukupa furaha kuliko wenzako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unaipenda haki na kuchukia uovu; kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuweka juu ya rafiki zako, kwa kukupaka mafuta ya furaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unaipenda haki na kuchukia uovu; kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuweka juu ya wenzako, kwa kukupaka mafuta ya furaha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeipenda haki; Umeichukia dhuluma. Kwa hiyo MUNGU, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya furaha kuliko wenzako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wapenda uadilifu na kuchukia uovu. Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuteua, na kukupa furaha kuliko wenzako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulipenda wongofu, ukachukia upotovu. Kwa hiyo Mungu aliye Mungu wako alikupaka mafuta, haya mafuta ni ya kufurahisha kuliko yale ya wenzio.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeipenda haki; Umeichukia dhuluma. Kwa hiyo MUNGU, Mungu wako, amekupaka mafuta, Mafuta ya furaha kuliko wenzako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiti chako cha kifalme ni imara, kinadumu milele kama cha Mungu. Wewe unatawala watu wako kwa haki.