Psalms 45:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mavazi yako yanukia marashi na udi, wanamuziki wakuimbia katika majumba ya pembe za ndovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mavazi yako yote yana harufu nzuri ya manemane, udi na mdalasini; kutoka majumba ya kifalme yaliyopambwa kwa pembe za ndovu, sauti za vinanda vya nyuzi zinakufanya ufurahi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mavazi yako yote hunukia manemane Na udi na mdalasini. Katika majumba ya pembe Vinubi vimekufurahisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mavazi yako yanukia marashi na udi, wanamuziki wakuimbia katika majumba ya pembe za ndovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mavazi yako yote ni yenye harufu nzuri ya manemane, udi na mdalasini; kutoka kwenye majumba ya kifalme yaliyopambwa kwa pembe za ndovu, sauti za vinanda vya nyuzi zinakufanya ufurahi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mavazi yako yote yana harufu nzuri ya manemane, udi na mdalasini; kutoka kwenye majumba ya kifalme yaliyopambwa kwa pembe za ndovu, sauti za vinanda vya nyuzi zinakufanya ufurahi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mavazi yako yote hunukia manemane Na udi na mdalasini. Katika majumba ya pembe Vinubi vimekufurahisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mavazi yako yanukia marashi na udi, wanamuziki wakuimbia katika majumba ya pembe za ndovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mavazi yako yote hunukia manemane na udi, hata marashi, kwenye majumba yaliyopambwa na pembe mazeze yanakufurahisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mavazi yako yote hunukia manemane Na udi na mdalasini. Katika majumba ya pembe Vinubi vimekufurahisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unapenda haki na kuchukia uovu. Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekupendelea kuliko wenzako; amekuweka kuwa mufalme kwa kukupakaa mafuta ya kufurahisha.