Psalms 45:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binti za wafalme ni baadhi ya wanaokulaki, naye malkia amesimama kulia kwako, amevaa mapambo ya dhahabu safi ya Ofiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Binti za wafalme ni miongoni mwa wanawake wako waheshimiwa; kuume kwako yupo bibi arusi malkia aliyevaa dhahabu ya Ofiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Binti za wafalme wamo Miongoni mwa akina bibi wako wastahiki. Mkono wako wa kuume amesimama malkia Amevaa dhahabu ya Ofiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binti za wafalme ni baadhi ya wanaokulaki, naye malkia amesimama kulia kwako, amevaa mapambo ya dhahabu safi ya Ofiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Binti za wafalme ni miongoni mwa wanawake wako waheshimiwa; kuume kwako yupo bibi arusi wa kifalme aliyevaa dhahabu ya Ofiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Binti za wafalme ni miongoni mwa wanawake wako waheshimiwa; kuume kwako yupo bibi arusi malkia aliyevaa dhahabu ya Ofiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Binti za wafalme wamo Miongoni mwa akina bibi wako wastahiki. Katika mkono wako wa kuume amesimama malkia Akiwa amevaa dhahabu safi ya Ofiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binti za wafalme ni baadhi ya wanaokulaki, naye malkia amesimama kulia kwako, amevaa mapambo ya dhahabu safi ya Ofiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Humo mna watoto wa kike wa kifalme, uliowapamba vizuri, naye mkeo wa kifalme yuko kuumeni kwako, huwa mwenye mapambo ya dhahabu ya Ofiri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Binti za wafalme wamo Miongoni mwa akina bibi wako wastahiki. Mkono wako wa kuume amesimama malkia Amevaa dhahabu ya Ofiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nguo zako zinanuka marasi, udi, na mudalasini; muziki wa vinubi unakufurahisha katika nyumba ya pembe za tembo.