Psalms 46:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Wakorahi. Mtindo wa Alamothi) Mungu ni kimbilio letu na nguvu yetu; yeye ni msaada wetu daima wakati wa taabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu ni kimbilio letu na nguvu yetu; yeye ni msaada wetu daima wakati wa taabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Wana Wa Kora. Mtindo Wa Alamothi) Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu ni kimbilio letu na nguvu yetu; yeye ni msaada wetu daima wakati wa taabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Mungu ni boma letu la kukimbilia, ni msaada wetu, tuliouona katika masongano kuwa wa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Wakora: Kwa mutindo wa Sauti ya juu kabisa.