Psalms 46:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asema: “Nyamazeni na kujua kuwa mimi ni Mungu! Mimi natukuka katika mataifa yote; mimi natukuzwa ulimwenguni kote!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tulieni, mjue kwamba mimi ndimi Mungu; nitatukuzwa katikati ya mataifa, nitatukuzwa katika dunia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Acheni, mjue ya kuwa Mimi ni Mungu, Nitakuzwa katika mataifa, nitakuzwa katika nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asema: “Nyamazeni na kujua kuwa mimi ni Mungu! Mimi natukuka katika mataifa yote; mimi natukuzwa ulimwenguni kote!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; nitatukuzwa katikati ya mataifa, nitatukuzwa katika dunia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; nitatukuzwa katikati ya mataifa, nitatukuzwa katika dunia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tulieni, mjue ya kuwa Mimi ni Mungu, Nitakuzwa katika mataifa, nitakuzwa katika nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asema: “Nyamazeni na kujua kuwa mimi ni Mungu! Mimi natukuka katika mataifa yote; mimi natukuzwa ulimwenguni kote!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Acheni, mjue, ya kuwa Mungu ndio mimi! Nitatukuka kwenye wamizimu, nitatukuka nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Acheni, mjue ya kuwa Mimi ni Mungu, Nitakuzwa katika mataifa, nitakuzwa katika nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anakomesha vita popote katika dunia. Anavunjavunja pinde na mikuki, nayo magari ya vita anayateketeza.