Psalms 46:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hata kama bahari ikichafuka na kutisha, na milima ikatetemeka kwa machafuko yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hata maji yake yakinguruma na kuumuka, na milima itetemeke kwa mawimbi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maji yake yajapovuma na kuumuka, Ijapopepesuka milima kwa kiburi chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hata kama bahari ikichafuka na kutisha, na milima ikatetemeka kwa machafuko yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata kama maji yake yatanguruma na kuumuka, milima nayo ikitetemeka kwa mawimbi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata kama maji yake yatanguruma na kuumuka, milima nayo ikitetemeka kwa mawimbi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maji yake yajapovuma na kuumuka, Ijapopepesuka milima kwa kiburi chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hata kama bahari ikichafuka na kutisha, na milima ikatetemeka kwa machafuko yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata bahari ikivuma sana na kukuza mawimbi yake, mpaka milima itetemeke kwa kuumuka kwao: Bwana Mwenye vikosi yuko, yuko pamoja nasi, ngome yetu yenye nguvu ni Mungu wa Yakobo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maji yake yajapovuma na kuumuka, Ijapopepesuka milima kwa kiburi chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo hatutaogopa kitu chochote, hata dunia ikiyeyuka na milima kutikisika kutoka bahari,