Psalms 46:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna mto ambao maji yake hufurahisha mji wa Mungu, makao matakatifu ya Mungu Mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu, mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuna mto, vijito vyake vyaufurahisha mji wa Mungu, Patakatifu pa maskani zake Aliye juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna mto ambao maji yake hufurahisha mji wa Mungu, makao matakatifu ya Mungu Mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu, mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu, mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuna mto, vijito vyake vyaufurahisha mji wa Mungu, Patakatifu pa maskani zake Aliye Juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna mto ambao maji yake hufurahisha mji wa Mungu, makao matakatifu ya Mungu Mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uko mto wa kuufurahisha mji wa Mungu kwa vijito vyake, nayo makao matakatifu yake Alioko huko juu yamo humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuna mto, vijito vyake vyaufurahisha mji wa Mungu, Patakatifu pa maskani zake Aliye juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hata kama bahari ikichafuka na kutisha, na milima ikitetemeka kwa machafuko yake.