Psalms 46:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu yumo mjini humo, nao hauwezi kutikiswa; Mungu ataupa msaada alfajiri na mapema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu yu katikati yake hautatetemeshwa; Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu yumo mjini humo, nao hauwezi kutikiswa; Mungu ataupa msaada alfajiri na mapema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu yu katikati ya mji hautatetemeshwa; Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu yumo mjini humo, nao hauwezi kutikiswa; Mungu ataupa msaada alfajiri na mapema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu mwenyewe yumo mwake, hautatetemeshwa, Mungu huusaidia, kunapokucha asubuhi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu yu katikati yake hautatetemeshwa; Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna muto ambao maji yake yanafurahisha muji wa Mungu, makao matakatifu ya Mungu Mukubwa.