Psalms 46:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mataifa yaghadhibika na tawala zatikisika; Mungu anguruma nayo dunia yayeyuka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, yeye hupaza sauti yake, dunia ikayeyuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mataifa yalighadhibika, falme zikataharuki; Alitoa sauti yake, nchi ikayeyuka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mataifa yaghadhibika na tawala zatikisika; Mungu anguruma nayo dunia yayeyuka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mataifa yanaghadhibika na falme kutetemeka; Anatoa sauti yake, nchi inayeyuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mataifa yaghadhibika na tawala zatikisika; Mungu anguruma nayo dunia yayeyuka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamizimu walichafuka, ufalme wao ukatikisika, napo hapo, ngurumo yake yeye iliposikilika, nchi ikayeyuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mataifa yalighadhibika, falme zikataharuki; Alitoa sauti yake, nchi ikayeyuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu yuko katika muji huo, nao hauwezi kutikiswa; Mungu ataupatia musaada kila asubui.