Psalms 46:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni yu pamoja nasi; Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mwenye vikosi yuko, yuko pamoja nasi, ngome yetu yenye nguvu ni Mungu wa Yakobo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mataifa yanakasirika na falme zinatikisika; Mungu ananguruma, nayo dunia inayeyuka.