Psalms 46:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njoni mwone matendo ya Mwenyezi-Mungu; oneni maajabu aliyoyafanya duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njooni mkaone kazi za Mwenyezi Mungu jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njoni myatazame matendo ya Bwana, Jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njoni mwone matendo ya Mwenyezi-Mungu; oneni maajabu aliyoyafanya duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoni mkaone kazi za BWANA jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njooni mkaone kazi za bwana jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njoni muyatazame matendo ya BWANA, Jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njoni mwone matendo ya Mwenyezi-Mungu; oneni maajabu aliyoyafanya duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njoni, mzitazame kazi zake yeye Bwana aletaye maangamizo katika nchi yaliyo hivyo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njoni myatazame matendo ya BWANA, Jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe wa majeshi yuko pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu.