Psalms 46:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hukomesha vita popote duniani, huvunjavunja pinde na mikuki, nazo ngao huziteketeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anakomesha vita hata miisho ya dunia, anakata upinde na kuvunjavunja mkuki, anateketeza ngao kwa moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Avikomesha vita hata mwisho wa dunia; Avunja uta, akata mkuki, achoma moto magari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hukomesha vita popote duniani, huvunjavunja pinde na mikuki, nazo ngao huziteketeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anakomesha vita hata miisho ya dunia, anakata upinde na kuvunjavunja mkuki, anateketeza ngao kwa moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anakomesha vita hata miisho ya dunia, anakata upinde na kuvunjavunja mkuki, anateketeza ngao kwa moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Avikomesha vita hata mwisho wa dunia; Avunja uta, akata mkuki, achoma moto magari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hukomesha vita popote duniani, huvunjavunja pinde na mikuki, nazo ngao huziteketeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha huvikomesha vita nako huko mapeoni kwa nchi akizivunja pindi na kuikatakata mikuki, akiyaunguza magari motoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Avikomesha vita hata mwisho wa dunia; Avunja uta, akata mkuki, achoma moto magari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukuje muone matendo ya Yawe. Muone maajabu aliyofanya katika dunia.