Psalms 47:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Wakorahi) Enyi watu wote, pigeni makofi! Msifuni Mungu kwa sauti za shangwe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pigeni makofi, enyi mataifa yote, mpigieni Mungu kelele za shangwe!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi watu wote, pigeni makofi, Mpigieni Mungu kelele kwa Sauti ya shangwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi watu wote, pigeni makofi! Msifuni Mungu kwa sauti za shangwe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Wana Wa Kora) Pigeni makofi, enyi mataifa yote, mpigieni Mungu kelele za shangwe!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pigeni makofi, enyi mataifa yote, mpigieni Mungu kelele za shangwe!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi watu wote, pigeni makofi, Mpigieni Mungu kelele kwa Sauti ya shangwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi watu wote, pigeni makofi! Msifuni Mungu kwa sauti za shangwe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makabila yote ya watu, pigeni makofi! Mwimbieni Mungu kwa shangwe na kumpigia vigelegele!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi watu wote, pigeni makofi, Mpigieni Mungu kelele kwa Sauti ya shangwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Mukubwa wa Wakora. Zaburi ya Wakora.