Psalms 47:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu, anatisha. Yeye ni Mfalme mkuu wa ulimwengu wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jinsi gani alivyo wa kutisha, Mwenyezi Mungu Aliye Juu Sana, Mfalme mkuu juu ya dunia yote!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana Aliye juu, mwenye kuogofya, Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu, anatisha. Yeye ni Mfalme mkuu wa ulimwengu wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jinsi gani alivyo wa kutisha, BWANA Aliye Juu Sana, Mfalme mkuu juu ya dunia yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jinsi gani alivyo wa kutisha, bwana Aliye Juu Sana, Mfalme mkuu juu ya dunia yote!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA Aliye Juu, mwenye kuogofya, Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu, anatisha. Yeye ni Mfalme mkuu wa ulimwengu wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana alioko huko juu huogopesha, ni mfalme mkubwa azitawalaye nchi zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA Aliye juu, mwenye kuogofya, Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi watu wote, mupige vigelegele! Mumusifu Mungu kwa sauti za shangwe!