Psalms 47:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ametuwezesha kuwashinda watu wa mataifa, ameyaweka mataifa chini ya mamlaka yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ametiisha mataifa chini yetu, watu wengi chini ya miguu yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atawatiisha watu wa nchi chini yetu, Na mataifa chini ya miguu yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ametuwezesha kuwashinda watu wa mataifa, ameyaweka mataifa chini ya mamlaka yetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ametiisha mataifa chini yetu na mataifa chini ya miguu yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ametiisha mataifa chini yetu watu wengi chini ya miguu yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amewatiisha watu wa nchi chini yetu, Na mataifa chini ya miguu yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ametuwezesha kuwashinda watu wa mataifa, ameyaweka mataifa chini ya mamlaka yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliteka makabila ya watu, watutii, nazo koo nzima, zituangukie miguuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atawatiisha watu wa nchi chini yetu, Na mataifa chini ya miguu yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Yawe, Mungu Mukubwa, anaogopesha. Yeye ni mufalme mukubwa wa ulimwengu wote.