Psalms 47:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu amepanda juu na vigelegele, Mwenyezi-Mungu na sauti ya tarumbeta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Mwenyezi Mungu kwa sauti za tarumbeta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu amepanda juu na vigelegele, Mwenyezi-Mungu na sauti ya tarumbeta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu amepaa katikati ya kelele za shangwe, BWANA katikati ya sauti za tarumbeta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, bwana kwa sauti za tarumbeta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, BWANA kwa sauti ya baragumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu amepanda juu na vigelegele, Mwenyezi-Mungu na sauti ya tarumbeta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu alipaa na kushangiliwa, Bwana ndiye aliyepigiwa baragumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, BWANA kwa sauti ya baragumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ametuchagulia inchi hii ikuwe urizi wetu, ambayo ni utukufu wa Yakobo anayemupenda.