Psalms 47:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwimbieni Mungu sifa, mwimbieni! Mwimbieni mfalme wetu sifa, mwimbieni!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa, mwimbieni sifa Mfalme wetu, imbeni sifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni Mungu, naam, imbeni; Mwimbieni mfalme wetu, naam, imbeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni Mungu sifa, mwimbieni! Mwimbieni mfalme wetu sifa, mwimbieni!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa, mwimbieni sifa Mfalme wetu, imbeni sifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa, mwimbieni sifa Mfalme wetu, imbeni sifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa; Imbeni sifa kwa mfalme wetu, imbeni sifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni Mungu sifa, mwimbieni! Mwimbieni mfalme wetu sifa, mwimbieni!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwimbieni Mungu na kupaza sauti! Mwimbieni mfalme wetu na kupaza sauti!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni Mungu, naam, imbeni; Mwimbieni mfalme wetu, naam, imbeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anapanda kwenye kiti chake cha kifalme, anashangiliwa na kupigiwa baragumu.