Psalms 47:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwimbieni Mungu sifa kwa tenzi; maana yeye ni mfalme wa ulimwengu wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Mungu ni mfalme wa dunia yote, mwimbieni zaburi za sifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote, Imbeni kwa akili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni Mungu sifa kwa tenzi; maana yeye ni mfalme wa ulimwengu wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa Mungu ni mfalme wa dunia yote, mwimbieni zaburi za sifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa Mungu ni mfalme wa dunia yote, mwimbieni zaburi za sifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote, Imbeni kwa zaburi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni Mungu sifa kwa tenzi; maana yeye ni mfalme wa ulimwengu wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani aliye mfalme wa nchi zote ndiye Mungu, mwimbieni nyimbo zenye maana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote, Imbeni kwa akili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwimbie Mungu sifa, mumwimbie! Mumwimbie mufalme wetu sifa, mumwimbie!