Psalms 47:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu anayatawala mataifa yote; amekaa katika kiti chake cha enzi kitakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu anayatawala mataifa, Mungu ameketi kwenye kiti chake cha enzi kitakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu awamiliki mataifa, Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu anayatawala mataifa yote; amekaa katika kiti chake cha enzi kitakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu anatawala juu ya mataifa, Mungu ameketi juu ya kiti chake cha enzi kitakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu anatawala juu ya mataifa, Mungu ameketi juu ya kiti chake cha enzi kitakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu ayatawala mataifa, Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu anayatawala mataifa yote; amekaa katika kiti chake cha enzi kitakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu anawatawala wamizimu nao, Mungu anakaa katika kiti chenye utakatifu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu awamiliki mataifa, Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwimbie Mungu mashairi ya sifa; maana yeye ni mufalme wa ulimwengu wote.