Psalms 47:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viongozi wa watu wa mataifa wanakusanyika, wanajiunga na watu wa Mungu wa Abrahamu, maana nguvu zote duniani ni zake Mungu, yeye ametukuka sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakuu wa mataifa wanakusanyika kama watu wa Mungu wa Ibrahimu, kwa kuwa wafalme wa dunia ni mali ya Mungu; yeye ametukuka sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakuu wa watu wamekusanyika, Wawe watu wa Mungu wa Ibrahimu. Maana ngao za dunia zina Mungu, Ametukuka sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viongozi wa watu wa mataifa wanakusanyika, wanajiunga na watu wa Mungu wa Abrahamu, maana nguvu zote duniani ni zake Mungu, yeye ametukuka sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakuu wa mataifa wanakusanyika kama watu wa Mungu wa Abrahamu, kwa kuwa wafalme wa dunia ni mali ya Mungu; yeye ametukuka sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakuu wa mataifa wanakusanyika kama watu wa Mungu wa Ibrahimu, kwa kuwa wafalme wa dunia ni mali ya Mungu; yeye ametukuka sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakuu wa watu wamekusanyika, Kama watu wa Mungu wa Abrahamu. Maana ngao za dunia zina Mungu, Ametukuka sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viongozi wa watu wa mataifa wanakusanyika, wanajiunga na watu wa Mungu wa Abrahamu, maana nguvu zote duniani ni zake Mungu, yeye ametukuka sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakuu wa makabila ya watu wamekusanyika, wawe ukoo wa Mungu wa Aburahamu, kwani ngao za hapa chini ni zake Mungu, ametukuka sanasana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakuu wa watu wamekusanyika, Wawe watu wa Mungu wa Ibrahimu. Maana ngao za dunia zina Mungu, Ametukuka sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anatawala mataifa yote; ameikaa katika kiti chake kitakatifu cha kifalme.